Watoto wa Mitaani

Watoto wa Mitaani (A. Kisia Peter)

Obsah knihy:

Kuna sababu mbalimbali zinazofanya watoto wa mitaani kujikuta katika haliyo hiyo.

Na ingawa mashirika mbalimbali kwa muda mrefu sasa yametambua kuweko kwa tatizo hili, hakuna jambo la muhimu ambalo limetekelezwa kulitatua. Mwandishi anaangazia machache kuhusu haki za watoto kwa upande wa malezi na elimu.

Vilevile anatoa mapendekezo na jinsi ya kuepukana na hali hizo. Watoto ni rasilmali kubwa ya taifa; ni viongozi wa kesho na. Hasa uti wa mgongo wa uchumi wa taifa katika siku zijazo.

Kwa sababu hii, mwandishi anasisitiza umuhimu wa kuanzisha miradi fulani ya kuwasaidia watoto hawa kujitegemea kimaisha. Hivi basi makala haya ni ya muhimu kwa wote wale wanaohusika na tatizo la watoto wa mitaani.

Ďalšie údaje o knihe:

ISBN:9789966472175
Autor:
Vydavateľ:
Jazyk:anglicky
Väzba:Mäkká väzba

Nákup:

Momentálne k dispozícii, na sklade.

Ďalšie knihy autora:

Watoto wa Mitaani
Kuna sababu mbalimbali zinazofanya watoto wa mitaani kujikuta katika haliyo hiyo. Na ingawa mashirika mbalimbali kwa muda mrefu sasa yametambua kuweko kwa tatizo hili,...
Watoto wa Mitaani

Diela autora vydali tieto vydavateľstvá:

© Book1 Group - všetky práva vyhradené.
Obsah tejto stránky nesmie byť kopírovaný ani použitý čiastočne alebo v celku bez písomného súhlasu vlastníka.
Posledná úprava: 2024.11.13 22:11 (GMT)