Vitimbi vya Mama wa Kambo: na hadithi nyingine

Vitimbi vya Mama wa Kambo: na hadithi nyingine (Yusufu Mugenzi Ally)

Obsah knihy:

Vitimbi vya Mama wa Kambo, Wivu, Radhi za Wazazazi, Ra ki Maluuni, Mchumba Kaka na Adui Mama ni hadithi zinazosawiri jamii alimochipukia mwandishi, au kuishi na kufanya kazi akiwa polisi, mwandishi wa habari na mtangazaji wa redio katika nchi za Tanzania, Rwanda, Burundi na Uingereza kwa takriban miaka 40.

Kitabu hiki ni matokeo ya maombi ya watu wengi waliomsikiliza akizisimulia katika kipindi cha Hadithi na Muziki cha Redio Rwanda katika miaka ya 1980 na 1990. Hadithi hizi pia zimekuwa zikitumiwa na wakuza mitaala wa Kiswahili nchini Rwanda shuleni na zimewafurahisha wapenzi wengine wa fasihi nje ya shule.

Ďalšie údaje o knihe:

ISBN:9789987084081
Autor:
Vydavateľ:
Jazyk:anglicky
Väzba:Mäkká väzba

Nákup:

Momentálne k dispozícii, na sklade.

Ďalšie knihy autora:

Vitimbi vya Mama wa Kambo: na hadithi nyingine
Vitimbi vya Mama wa Kambo, Wivu, Radhi za Wazazazi, Ra ki Maluuni, Mchumba Kaka na Adui Mama ni hadithi...
Vitimbi vya Mama wa Kambo: na hadithi nyingine

Diela autora vydali tieto vydavateľstvá:

© Book1 Group - všetky práva vyhradené.
Obsah tejto stránky nesmie byť kopírovaný ani použitý čiastočne alebo v celku bez písomného súhlasu vlastníka.
Posledná úprava: 2024.11.13 22:11 (GMT)