Sinaye Baba ni diwani yenye mashairi ya kimapokeo yaliyobeba sauti ya kilio cha kundi la watu walio- kosa malezi kutoka kwa wazazazi.
Sauti hizo zilizojaa jitimai, zinaonesha ni kwa namna gani kukosa malezi kunavyoweza kuathiri jamii kwa kuifanya ipotoke zaidi. Hivyo diwani hii inamfungua macho msomaji, ili aweze kuona ni kwa namna gani malezi ni jukumu la jamii nzima.
Diwani hii haijaacha kitu kwani imebeba masuala mbalimbali katika jamii, burudani, siasa na uchumi.
© Book1 Group - všetky práva vyhradené.
Obsah tejto stránky nesmie byť kopírovaný ani použitý čiastočne alebo v celku bez písomného súhlasu vlastníka.
Posledná úprava: 2024.11.13 22:11 (GMT)