Zito anausifu ujinga. Darasani imekuwa ni kushikilia nikia kila kunapofanywa mtihani.
„Sikiza,“ anamwainbia rafiki yake Sadiki. „Ukiwa daktari, utanihudumia nikiwa mgonjwa.
Ukiwa mwalimu, utafundisha wanangu, na ukiwa wakili, utanisimamia katika kesi zangu... Katika kazi yoyote ile utakayoajiriwa kufanya, utakuwa ukitutumikia sisi wajinga...“ Lakini siku ya kupata funzo kuwa ujinga haulipi imo njiani....
© Book1 Group - všetky práva vyhradené.
Obsah tejto stránky nesmie byť kopírovaný ani použitý čiastočne alebo v celku bez písomného súhlasu vlastníka.
Posledná úprava: 2024.11.13 22:11 (GMT)