Hadithi ya kwanza, Kishu kazi, inamhusu mkulima mwenye bidii, ambaye daima kisu kilikuwa hakimtoki kiunoni, na alipoulizwa, siku zote alijibu "Kishu kazi, kuna siku kindapata...
Kuna sababu mbalimbali zinazofanya watoto wa mitaani kujikuta katika haliyo hiyo. Na ingawa mashirika mbalimbali kwa muda mrefu sasa yametambua kuweko kwa tatizo hili,...