Kufikirika

Kufikirika (Shaaban Robert)

Obsah knihy:

Kwa zaidi ya miaka kumi na tano vitabu vya mwandishi maarufu kushinda wote katika jamii za Waswahili kote Afrika ya Mashariki na Kati, Marehemu Sheikh Shaaban Robert, havikupatikana Tanzania.

Sababu ya kukosekana kwa vitabu hivyo ni kuwa kampuni ya kigeni iliyovichapisha iliamua kuacha kuvichapisha kwa sababu haikulipwa kwa fedha za kigeni jambo, lililosabishwa na hali mbaya ya uchumi. Athari za kupotea kwa vitabu vya Sheikh Shaaban Robert katika miaka hiyo ni kwamba Watanzania wengi hasa wale wenye umri chini ya miaka thelathini, hawamjui mwandishi huyu maarufu na hawakulelewa katika mazingira ya utajiri wa maandishi yake ambayo bila shaka yoyote ni mfano pekee wa utajiri wa urithi wa utamaduni wetu.

Kwa kuvichapisha vitabu vya Marehemeu Sheikh Shaaban Robert tunawakaribisha tena Watanzania, hasa vijana kuvisoma, kuburudishwa na kufunzwa na yale aliyoyaandika kwa sanaa na kipaji adimu. Príbehy o imaginárnych kráľovstvách v Shaaban Robert sa venuje spoločnosti, skúma systémy vládnutia a zodpovednosti vládcov a občanov.

Ďalšie údaje o knihe:

ISBN:9789976083583
Autor:
Vydavateľ:
Jazyk:anglicky
Väzba:Mäkká väzba

Nákup:

Momentálne k dispozícii, na sklade.

Ďalšie knihy autora:

Kielezo cha Fasili
Kwa zaidi ya miaka kumi na tano vitabu vya mwandishi maarufu kushinda wote katika jamii za Waswahili kote Afrika ya Mashariki na Kati, Marehemu Sheikh...
Kielezo cha Fasili
Mapenzi Bora
Kwa zaidi ya miaka na tano vitabu vya mwandishi maarufu kushinda wote katika jamii za Waswahili kote Afrika ya Mashariki na Kati, Marehemu Sheikh Shaaban Robert,...
Mapenzi Bora
Kufikirika
Kwa zaidi ya miaka kumi na tano vitabu vya mwandishi maarufu kushinda wote katika jamii za Waswahili kote Afrika ya Mashariki na Kati, Marehemu Sheikh Shaaban Robert,...
Kufikirika
Adili na Nduguze
Toto nové vydanie, ktoré prvýkrát vyšlo v roku 1980, rozpráva o anjeloch, čertoch a iných neobyčajných bytostiach. Je prostriedkom invencie pre otázky v...
Adili na Nduguze

Diela autora vydali tieto vydavateľstvá:

© Book1 Group - všetky práva vyhradené.
Obsah tejto stránky nesmie byť kopírovaný ani použitý čiastočne alebo v celku bez písomného súhlasu vlastníka.
Posledná úprava: 2024.11.13 22:11 (GMT)